KATIKA miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na utaratibu mpya katika tasnia ya muziki wa Bongo Fleva kila msanii anayesainiwa na kutambulishwa kwenye lebo za Bongo basi lazima aachie wimbo ...