Maoni ya wahariri wa magazeti leo yametuama katika mauaji yaliyotokea huko Las Vegas, wanatoa maoni juu ya mgogoro wa jimbo la Catalonia na pia wameangazia mkutano mkuu wa chama cha kihafidhina cha ...